\p \v=2 \v~=Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano\f + \fr 3:2 \ft Shekeli 15 za fedha ni sawa na gramu 170.\f* za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu\f + \fr 3:2 \ft Homeri moja na nusu ni kama lita 330.\f* ya shayiri. \¬v