\v=5 \v~=Baadaye Waisraeli watarudi na kumtafuta \nd Bwana\nd* Mungu wao na Daudi mfalme wao. Watakuja wakitetemeka kwa \nd Bwana\nd* na kwa baraka zake katika siku za mwisho. \¬v \¬p \¬c