\v=11 \v~=Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi,\f + \fr 11:11 \ft Pathrosi ina maana Misri ya Juu.\f* Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. \¬v \¬p