\p \v=16 \v~=Katika siku ile Wamisri watakuwa kama wanawake. Watatetemeka kwa hofu mbele ya mkono wa \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote anaoinua dhidi yao. \¬v