\v=17 \v~=Nayo nchi ya Yuda itawatia hofu Wamisri, kila mmoja atakayetajiwa Yuda ataingiwa na hofu, kwa sababu ya kile ambacho \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote anapanga dhidi yao. \¬v \¬p