\p \v=18 \v~=Katika siku hiyo miji mitano ya Misri, itazungumza lugha ya Kanaani, na kuapa kumtii \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. Mji mmojawapo utaitwa Mji wa Uharibifu.\f + \fr 19:18 \ft Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).\f* \¬v \¬p