\p \v=19 \v~=Katika siku hiyo patakuwepo madhabahu ya \nd Bwana\nd* katikati ya Misri na mnara wa kumbukumbu kwa \nd Bwana\nd* kwenye mpaka wa Misri. \¬v