\v=20 \v~=Itakuwa alama na ushahidi kwa ajili ya \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote katika nchi ya Misri. Watakapomlilia \nd Bwana\nd* kwa sababu ya watesi wao, Mungu atawapelekea mwokozi na mtetezi, naye atawaokoa. \¬v