\v=21 \v~=Hivyo \nd Bwana\nd* atajijulisha mwenyewe kwa Wamisri, nao katika siku hiyo watamkubali \nd Bwana\nd*. Wataabudu kwa kumtolea dhabihu na sadaka za nafaka, watamwekea \nd Bwana\nd* nadhiri na kuzitimiza. \¬v