\p \v=25 \v~=\nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote asema, “Katika siku ile, kigingi kilichogongomewa mahali imara kitaachia njia. Kitakatwa, nacho kitaanguka na mzigo ulioningʼinia juu yake utaanguka chini.” \nd Bwana\nd* amesema. \¬v \¬p \¬c