\p \v=17 \v~=Mwishoni mwa miaka sabini, \nd Bwana\nd* atashughulika na Tiro. Naye atarudia ajira yake ya ukahaba, na atafanya biashara yake na falme zote juu ya uso wa dunia. \¬v