\v=18 \v~=Lakini faida na mapato yake yatawekwa wakfu kwa \nd Bwana\nd*; hayatahifadhiwa wala kufichwa. Faida zake zitakwenda kwa wale wakaao mbele za \nd Bwana\nd* kwa ajili ya chakula tele na mavazi mazuri. \¬v \¬p \¬c