\p \v=12 \v~=Katika siku ile \nd Bwana\nd* atapura kutoka matiririko ya Mto Frati hadi Kijito cha Misri, nanyi ee Waisraeli, mtakusanywa mmoja mmoja. \¬v