\v=13 \v~=Katika siku ile tarumbeta kubwa italia. Wale waliokuwa wakiangamia katika nchi ya Ashuru, nao wale waliokuwa uhamishoni katika nchi ya Misri watakuja na kumwabudu \nd Bwana\nd* katika mlima mtakatifu huko Yerusalemu. \¬v \¬p \¬c