\v=26 \v~=Mwezi utaangaza kama jua, nao mwanga wa jua utangʼaa mara saba zaidi, kama nuru ya siku saba, wakati \nd Bwana\nd* atakapoyafunga majeraha ya watu wake na kuwaponya vidonda alivyowatia. \¬v \¬p