\v=15 \v~=Msikubali Hezekia awashawishi kumtumaini \nd Bwana\nd* kwa kuwaambia, ‘Hakika \nd Bwana\nd* atatuokoa. Mji huu hautaangukia mikononi mwa mfalme wa Ashuru.’ \¬v \¬p