\p \v=18 \v~=“Msikubali Hezekia awapotoshe asemapo, ‘\nd Bwana\nd* atatuokoa.’ Je, yuko mungu wa taifa lolote aliyewahi kuokoa nchi yake kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru? \¬v