\v=7 \v~=Nawe kama ukiniambia, “Tunamtumainia \nd Bwana\nd* Mungu wetu”: je, siyo yeye ambaye Hezekia aliondoa mahali pake pa juu pa kuabudia miungu na madhabahu zake, akiwaambia Yuda na Yerusalemu, “Ni lazima mwabudu mbele ya madhabahu haya”? \¬v \¬pm