\v=17 \v~=Tega sikio, Ee \nd Bwana\nd*, usikie; fungua macho yako, Ee \nd Bwana\nd*, uone; sikiliza maneno yote ambayo Senakeribu ametuma kumtukana Mungu aliye hai. \¬v \¬p