\p \v=18 \v~=“Ni kweli, Ee \nd Bwana\nd*, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao. \¬v