\p \v=36 \v~=Ndipo malaika wa \nd Bwana\nd* akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali! \¬v