\v=5 \v~=“Nenda ukamwambie Hezekia, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako. Nitakuongezea miaka kumi na mitano katika maisha yako. \¬v