\p \v=21 \v~=“Kwa habari yangu mimi, hili ndilo agano langu nao,” asema \nd Bwana\nd*. “Roho wangu, aliye juu yenu, na maneno yangu ambayo nimeyaweka katika vinywa vyenu, havitaondoka vinywani mwenu, wala kutoka vinywani mwa watoto wenu, wala kutoka vinywani mwa wazao wao, kuanzia sasa na hata milele,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p \¬c