\v=20 \v~=Nao watawaleta ndugu zenu wote, kutoka mataifa yote, mpaka kwenye mlima wangu mtakatifu katika Yerusalemu kama sadaka kwa \nd Bwana\nd*, juu ya farasi, katika magari ya vita na magari makubwa, juu ya nyumbu na ngamia,” asema \nd Bwana\nd*. “Watawaleta, kama Waisraeli waletavyo sadaka zao za nafaka, katika Hekalu la \nd Bwana\nd*, katika vyombo safi kwa kufuata desturi za ibada. \¬v