\p \v=22 \v~=“Kama vile mbingu mpya na nchi mpya ninazozifanya zitakavyodumu mbele zangu,” asema \nd Bwana\nd*, “ndivyo jina lenu na wazao wenu watakavyodumu. \¬v