\p \v=5 \v~=Ndipo nikalia, “Ole wangu! Nimeangamia! Kwa kuwa mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninaishi katikati ya watu wenye midomo michafu, nayo macho yangu yamemwona Mfalme, \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote.” \¬v \¬p