\v=14 \v~=Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli.\f + \fr 7:14 \ft Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi.\f* \¬v