\p \v=18 \v~=Katika siku ile \nd Bwana\nd* atawapigia filimbi mainzi kutoka vijito vya mbali vya Misri, na nyuki kutoka nchi ya Ashuru. \¬v