\v=20 \v~=Katika siku ile Bwana atatumia wembe ulioajiriwa kutoka ngʼambo ya Mto,\f + \fr 7:20 \ft Yaani Frati.\f* yaani mfalme wa Ashuru, kunyoa nywele za kichwa chako na malaika ya miguu yako, na kuziondoa ndevu zako pia. \¬v