\v=23 \v~=Katika siku ile, kila mahali palipokuwa na mizabibu elfu moja yenye thamani ya shekeli 1,000\f + \fr 7:23 \ft Shekeli 1,000 ni kama kilo 11.5.\f* za fedha, patakuwa na michongoma na miiba tu. \¬v