\p \v=3 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akamwambia Isaya, “Toka uende, wewe na mwanao Shear-Yashubu,\f + \fr 7:3 \ft Shear-Yashubu maana yake Mabaki Watarudi.\f* mkutane na Ahazi huko mwisho wa mfereji wa Bwawa la Juu, kwenye barabara iendayo Shamba la Dobi. \¬v