\p \v=3 \v~=Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha \nd Bwana\nd* akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi. \¬v