\v=10 \v~=Ndipo Waisraeli wakamlilia \nd Bwana\nd* wakasema, “Tumetenda dhambi dhidi yako, kumwacha Mungu wetu na kutumikia Mabaali.” \¬v \¬p