\p \v=15 \v~=Lakini Waisraeli wakamwambia \nd Bwana\nd*, “Tumetenda dhambi. Ututendee lile unaloona kuwa jema kwako, lakini twakusihi utuokoe sasa.” \¬v