\v=16 \v~=Nao wakaiondoa hiyo miungu migeni katikati yao nao wakamtumikia \nd Bwana\nd*. Naye akahuzunika kwa sababu ya taabu ya Israeli. \¬v \¬p