\p \v=10 \v~=Viongozi wa Gileadi wakamjibu Yefta, “\nd Bwana\nd* ndiye shahidi yetu. Kwa hakika tutafanya kama usemavyo.” \¬v