\v=11 \v~=Basi Yefta akaenda na viongozi wa Gileadi, nao watu wakamfanya kiongozi na jemadari wao. Naye akarudia maneno yake yote mbele za \nd Bwana\nd* huko Mispa. \¬v \¬p