\m \v=28 \v~=Hata hivyo, Mfalme wa Waamoni, hakuyajali maneno ya ujumbe wa Yefta. \¬v \¬m