\p \v=29 \v~=Ndipo Roho wa \nd Bwana\nd* akaja juu ya Yefta. Akapita katikati ya Gileadi na Manase, pia akapita katika Mispa ya Gileadi, na kutokea huko akasonga mbele kushambulia Waamoni. \¬v