\p \v=32 \v~=Ndipo Yefta akavuka kupigana na hao Waamoni, naye \nd Bwana\nd* akawatia mkononi mwake. \¬v