\v=35 \v~=Alipomwona akararua mavazi yake akalia, “Ee! Binti yangu! Umenifanya niwe na huzuni na kunyongʼonyea sana, kwa kuwa nimeweka nadhiri kwa \nd Bwana\nd*, ambayo siwezi kuivunja.” \¬v \¬p