\p \v=36 \v~=Akajibu, “Baba yangu, umetoa neno lako kwa \nd Bwana\nd*. Nitendee mimi kama vile ulivyoahidi, kwa kuwa \nd Bwana\nd* amekupa ushindi dhidi ya adui zako Waamoni.” \¬v