\p \v=9 \v~=Yefta akawaambia, “Ikiwa mtanirudisha kwetu kupigana na Waamoni, naye \nd Bwana\nd* akanisaidia kuwashinda, Je, ni kweli nitakuwa kiongozi wenu?” \¬v \¬p