\v=3 \v~=Nilipoona kuwa hamkunipa msaada nikauhatarisha uhai wangu na nikavuka kupigana na Waamoni. Naye \nd Bwana\nd* akanipatia ushindi dhidi yao. Sasa kwa nini mnanijia leo ili kupigana nami?” \¬v \¬p