\p \v=13 \v~=Malaika wa \nd Bwana\nd* akamjibu, “Mke wako hana budi kufanya yale yote niliyomwambia. \¬v