\p \v=15 \v~=Manoa akamjibu yule malaika wa \nd Bwana\nd*, “Twakuomba usubiri kwanza ili tuweze kuandaa mwana-mbuzi kwa ajili yako.” \¬v \¬p