\p \v=16 \v~=Malaika wa \nd Bwana\nd* akamjibu, “Hata kama utanizuia, sitakula chochote kwako. Lakini ukitaka kuandaa sadaka ya kuteketezwa, mtolee \nd Bwana\nd* hiyo sadaka.” (Kwa kuwa Manoa hakujua kuwa alikuwa malaika wa \nd Bwana\nd*.) \¬v \¬p