\p \v=17 \v~=Ndipo Manoa akamuuliza yule malaika wa \nd Bwana\nd*, “Jina lako ni nani, ili kwamba tuweze kukupa heshima hapo hayo uliyonena yatakapotimia?” \¬v \¬p