\v=19 \v~=Ndipo Manoa akamchukua mwana-mbuzi, pamoja na sadaka ya unga, naye akamtolea \nd Bwana\nd* dhabihu hapo juu ya mwamba. Naye yule malaika wa \nd Bwana\nd* akafanya jambo la ajabu wakati Manoa na mkewe wakiwa wanaangalia: \¬v