\v=20 \v~=Mwali wa moto kutoka hapo madhabahuni ulipowaka kuelekea mbinguni, malaika wa \nd Bwana\nd* akapaa ndani ya huo mwali. Manoa na mkewe, kwa kuona jambo hili, wakaanguka chini kifudifudi. \¬v